Makamba: Operesheni sitisha viroba iko pale pale
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),January Makamba (kushoto) akiwaonyesha wanahabari simu yake ambayo ilikuwa na habari iliyochapishwa na Mwananchi kuhusu katazo la pombe za viroba ifikapo Januari Mosi mwaka huu. Kulia ni Katibu mkuu wa wizara hiyo, Profesa Faustine Kamuzora.Picha na Bakari Kiango.
By Bakari Kiango, Mwananchi bkiango@mwananchi.co.tz
0 comments:
Post a Comment