Chama cha walimu CWT cha mpongeza Rais JAKAYA KIKWETE SOMA HAPA ZAIDI:
Chama cha Walimu Tanzania CWT kimeridhia hatua ya kuundwa kwa chombo kimoja cha kusimamia ajira za walimu na kusema Rais JAKAYA KIKWETE atakumbukwa kwa uamuzi wa serikali yake kuunda chombo hicho na kubadili muundo wa utumishi wa walimu.
Kauli hiyo imetolewa mjini Arusha na Naibu Katibu Katibu Mkuu wa CWT Bwana EZEKIEL OLOUCHI wakati wa kongamano la wadau la wadau wa elimu kuzungumzia maslahi ya walimu.
0 comments:
Post a Comment