Hii hapa mpya kuhusu Kampuni ya Google yashtakiwa soma HAPA zaidi:
Muungano wa Ulaya umeishtaki rasmi kampuni ya google kwa utumizi m'baya wa soko lake kufuatia uchunguzi wa miaka mitano.
Kamishna
wa ushindani katika muungano huo Margrethe Westager amesema kuwa ana
wasiwasi kwamba kampuni hiyo ilikuwa na upendeleo ambapo ni kinyume na
sheria zake za uaminifu.Pia ilianzisha uchunguzi kuhusu mfumo wa Anrodid katka kampuni hiyo.
Kampuni hiyo ya mtandao imechukua wiki kumi ili kujibu mashtaka hayo.
Hakuna tamko lolote lililotolewa na kampuni ya Google.Muungano wa Ulaya huenda ukaipiga faini kampuni hiyo yenye thamani ya mabilioni ya dola.
0 comments:
Post a Comment