FAMILIA YA SECKY:"HAKUFA SABABU YA LULU"
Zimesambazwa taarifa nyingi za kifo cha Secky lakini Familia inasema hii ndio sahihi.
Najua kama unafatilia habari zinazoendelea
mjini utakua umekutana na voicenote au taarifa ya kifo cha huyu ndugu
yetu inaweza kuwa imekufikia lakini sio kwa usahihi, au chanzo cha kifo
kinaweza kuwa kimepotoshwa.
Sasa familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Secky)
imekanusha taarifa zinazoendelea kusambazwa kupitia voice note na
kwenye mitandao kuhusu chanzo cha kifo chake na kwamba alikwenda kwenye
birthday, ukweli ni kwamba aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba
mtoto wake nyumbani kwake, akapelekwa hospitali na baadae akafariki
akiwa Hospitali, hakuna kingine zaidi ya hapo.
Diamond Platnumz ameandika ‘Gone too soon my Brother… i still don’t wanna believe that you are realy Gone….dah si jana tu tumezungumza’
R.I.P Secky.
FROM MILLARD AYO
0 comments:
Post a Comment