Watanzania wametakiwa kujifunza umuhimu wa mabadiliko ya kuachiana uongozi kwa amani na utulivu bila migogoro inayotumbukiza nchi katika machafuko.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa BERNAD MEMBE wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa Lesoto Bwana Pakalitha Mosisili kufuatia uchaguzi ulioitishwa mapema kufuatia jaribio la mapinduzi mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment