The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imepunguza kushuka bei
ya mafuta kwa mara nyingine katika kipindi cha miezi mitatu huku punguzo
la sasa likitajwa kuwa ni la chini zaidi katika kipindi cha miaka sita.
Mamlaka hiyo ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza kushuka tena kwa bei ya mafuta ambapo kuanzia leo, lita moja ya Petroli itauzwa Sh1,653 wakati Dizel itauzwa Sh1,563 huku mafuta ya taa bei ikiwa Sh1,523 kwa lita.

0 comments:
Post a Comment