MUUGUZI ALIYETEKWA APATIKANA
MUUGUZI ALIYETEKWA APATIKANA
Muuguzi wa Hospitali ya Mwananyamala, Pili Amiri aliyetekwa Machi 12, amepatikana usiku wa kuamkia jana baada ya watekaji hao kudaiwa kumtupa katika pori moja lililoko Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shangazi yake, Fatuma Mbasa, muuguzi huyo alirudi nyumbani saa 10 alfajiri jana akiwa katika hali ya kulewa na makovu kadhaa shingoni
0 comments:
Post a Comment